FAQ
Yafuatayo Ni Maswali na Majibu Kuhusu Kinachofanyika Katika Website/Tovuti Yetu!
Baadhi Ya Watu Hujiuliza Maswali Mengi Sana Mengineyo Kama Ifuatavyo!
1: Kizaboy.com ni Tovuti Inayojihusisha Na Kitu Gani?
JIBU: ni tovuti ambayo inaweka Nyimbo za wasanii ili ziweze kuonekana kwa watembeleaji kupitia Kutafutwa kwenye Google Search, Yahoo, Yandex na kwenye mitandao mingine ya kutafuta Vitu Yaani Search Engine Kwa Kiingereza
2: Je ni Nyimbo za aina gani Zinawekwa Kwenye Tovuti ya kizaboy.com?
JIBU: Tunaweka Aina ya nyimbo zote (Lakini ziwe na Maadili Mazuri Na Yakuvutia ikiwa ni pamoja na picha ,video na sauti kutoka kwa wamiliki au wawakilishi walioidhinishwa ambao wanahati miliki zote
3: Hivi Kuna Malipo yoyote ya Pesa Msanii hupata akiweka Nyimbo Zake Kwenye Tovuti ya kizaboy.com?
JIBU: Hapana ,kizaboy.cm inawapa watembeleaji Kutazama Video bila Malipo/Bure, upakuaji wa sauti au utiririshaji/Kusikiliza. Hii inamaanisha kuwa, huduma zetu zote ni Bure/Bila Malipo kwa dhumuni la Kutangaza na kuendeleza Kazi za Wasanii na kwa hivyo hatuuzi muziki/Kazi ya msanii,
4: Nawezaje kuweka wimbo wangu ukaonekana kwenye Website ya kizaboy.com?
JIBU: Tunapokea nyimbo kupitia Email, nainaimedia@gmail.com au Bonyeza Whatsapp +255767135136
5: Je naweza Kutuma Nyimbo kupitia Email au Whatsapp?
JIBU: Ndio unaweza kutuma kupitia WhatsApp utume kama Documents /Nyaraka
6: Je nawezaje Kutoa Wimbo wangu ambao umetumwa na mtu ambaye Hana hakimiliki?
JIBU: Kama umeuona wimbo wako ambao hujapenda uwepo kwenye tovuti yetu, Tunakuomba utume maelezo au malalamishi ya kutaka kuondoa wimbo wako kupitia Email yetu ya nainaimedia@gmail.com Au Whatsapp +255767135136 na mafundi wetu wataweza kuondoa kazi yako ndani ya Masaa Kadhaa ikiwa tu watajiridhisha kuwa una haki zote za wimbo huo.
7: Hivi Mimi Ni Msanii Nikiweka Nyimbo Zangu Mtu Anaweza Kutazama Au kusikiliza na watazamaji wakaongezeka kwenye Akaunti yangu? Mfano Youtube Au BoomPlay na Audiomack!
JIBU: Ndiyo Wimbo wa Msanii unapowekwa kwetu iwe Video au Sauti , Basi huwa tunanakiri upachikaji (Embed Code) kutoka kwenye Akauti ya msanii ambayo ipo kwenye tovuti za watu wengine. Mfano kusikiliza kutoka BoomPlay, Audiomack, Youtube na tovuti zingine ambazo zina huduma ya Upachikaji Embed Code/Kwa kiingereza.
ZiFuatazo Ni Baadhi Ya Faida Ya Kuweka Nyimbo Kwenye Website/Tovuti Yetu kizaboy.com
- Wimbo wako utaonekana Kwenye Mitandao yote ya Kutafutia Vitu Mbalimbali kama Google , Bing , Ask , Yahoo na Mitandao mingine inayotumika Katika Utafutaji Vitu Mtandaoni na kufanya wimbo wako kujulikana zaidi.
- kizaboy.com inatazamwa Zaidi ya Watu Millioni10+ nakuendelea kwa Mwezi Mmoja.. Hivyo basi wimbo wako utaonekana kwa Watembeleaji wengi pia.
- kizaboy.com ina sehemu ya Kushare/Kusambazia Muziki wako kama Facebook , Twitter, Instagram, Pamoja na Mitandao mingine ya kijamii ambayo unaweza kutumia kwa Kuwasambazia Marafiki na jamaa Kwapamoja Wakafurahia Huduma Yetu.
- Mtembeleaji wa tovuti yetu ataweza Kudownload au kusikiliza Wimbo wako kwa urahisi Zaidi Kupitia Player ambazo zimeambatanishwa na akaunti yako kutoka mitandao ya kulipia Kama Audiomack, Youtube, BoomPlay n.k.
Pia Kama Unabiashara unataka Ijulikane Kwa Haraka zaidi Hapa Nchini Tanzania Pamoja na Duniani Kote Usiogope Wasiliana nasisi Tutakutangazia Biashara yako Kwa bei nafuu kabisa ili uongeze wateja kwenye biashara yako.Tafadhali Wasiliana nasi Kupitia Email nainaimedia@gmail.com. Au Bonyeza Whatsapp +255767135136
Kama una Swali lolote usisite Kutuuliza Kupitia Email Yetu nainaimedia@gmail.com.Au Bonyeza Whatsapp +255767135136
Pia Tunakushukuru Na Asante Kwakutembelea Website yetu kizaboy.com Na Karibu Kwa nyimmbo Mpya Zinazotoka kila Siku.
.png)
0 Comments